Ajiua kwa kujinyonga kwa mkanda wa Seruali yake
Mtu mmoja Jabiri Joseph anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 25 hadi 30 amekufa baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake. Kwa mujibu wa polisi, mtu huyo inasadikiwa alijitundika...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda atamani kanuni za Bunge zirekebishwe ili kuwabana...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda anasema ikiwezekana Kanuni za Kudumu za Bunge zirekebishwe ili kuwabana wabunge wa Upinzani wanaotoka bungeni. Aidha, amewataka wabunge kuheshimu mamlaka ya Mkaguzi na...
View ArticleWatumiaji wa simu nchini wafikia milioni 27, Internet milioni 9
IDADI ya watumiaji wa huduma za simu nchini imeongezeka kutoka laini za simu za kiganjani milioni 2.96 mwaka 2005 hadi kufikia milioni 27.45 Desemba mwaka jana. Hayo yamebainishwa jana bungeni na...
View ArticleBreaking News: Mtoto aliyekuwa amefichwa ndani ya boksi kwa miaka minne...
Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Mwanaume mwenye shati la bluee aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi. ****** MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa...
View ArticleBreaking News: Mama mzazi wa Zitto Kabwe afariki dunia
Rais Jakaya Kikwete alipomjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa amelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU)...
View ArticleMwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mkristo kuachiwa...
Mwanamke wa Sudan anayesubiri hukumu ya kunyongwa kwa kosa la kuolewa na Mkristo huenda akaachiwa huru hivi karibuni. Afisa mmoja wa serikali amesema nchi hiyo inaendelea na mipango ya kumwachia...
View ArticlePicha zinatisha: Majambazi Yaua mtu mmoja kwa Risasi jijini Arusha.....
Mtu mmoja amepigwa risasi zisizojulikana idadi yake na kupoteza maisha katika eneo la Clock Tower Jijini Arusha na majambazi ...... Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern...
View ArticlePicha: Bibi wa mtoto aliyekuwa amefichwa ndani ya boksi akilia kwa uchungu...
Bibi wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi....
View ArticleMwili wa mama yake Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma kwa Mazishi.....
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum na kuuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 2 June 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 2 June 2014
View ArticleGeorge Tyson kuagwa Leaders Club, kuzikwa Jumamosi ya June 7 nchini Kenya
Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Awino Felix Akizungumzia taratibu za...
View ArticleMtoto aliyekuwa amefungiwa ndani ya boksi atazikwa kwa heshima zote.....Leo...
Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua simanzi jijini Dar es...
View ArticleMama mzazi wa Zitto Kabwe kuzikwa leo saa tisa alasiri katika kijiji cha...
Mwili wa mjumbe wa bunge maalumu la katiba, Shida Salum (54), aliyefarki dunia jana katika hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam utazikwa leo saa tisa alasiri katika kijiji cha...
View ArticleMume wa Flora Mbasha anayetuhumiwa kumbaka shemeji yake ajitokeza....Asema...
Emmanuel Mbasha, ambaye ni mume wa mwimbaji nguli wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amejitokeza hadharani na kusema kwamba atakwenda polisi mwenyewe kujibu tuhuma dhidi yake za kumbaka shemeji yake...
View ArticleRais wa Uganda ammwagia sifa Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere.....Asema atapeleka...
Rais Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki. Rais Museveni aliyasema hayo Jumamosi wakati ibada ya kuombea mchakato wa...
View ArticleWanajeshi wa Tanzania ( JWTZ ) wazuiwa kupita Rwanda
Serikali ya Rwanda imedaiwa kuwazuia kupita nchini humo baadhi ya askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliotoka kukisambaratisha kikundi cha waasi wa M23 kilichokuwa...
View ArticlePicha: Yanayojiri Kigoma katika mazishi ya mama mzazi wa Zitto Kabwe, Shida...
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa. Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani. Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo. Viongozi...
View ArticleHapiness Magesse: Nilifanyiwa upasuaji mara 12 kunusuru kizazi changu bila...
Februari ya kila mwaka huenda ikawa ni kumbukumbu mbaya kwa mwanamitindo na Miss Tanzania 2001, Hapiness Millen Magese ambaye mwezi huo ndipo alipogundulika kuwa hataweza kupata...
View ArticleVilio vyatawala mkoani Morogoro wakati mwili wa mtoto aliyefichwa ndani ya...
Mwili wa mtoto Nasra ukiwa mochwari. Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4) kuwasili mkoani Morogoro. Wanahabari wakichukua matukio wakati mwili wa mtoto Nasra...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 3 June 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 3 June 2014
View Article