Waziri
Mkuu Mizengo Pinda anasema ikiwezekana Kanuni za Kudumu za Bunge zirekebishwe
ili kuwabana wabunge wa Upinzani wanaotoka bungeni.
Aidha,
amewataka wabunge kuheshimu mamlaka ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) na kumwachia jukumu la kufanya ukaguzi kuhusu suala la malipo
kwa Kampuni ya IPTL.
Waziri
Mkuu Pinda aliyasema hayo juzi jioni wakati alipopewa
↧