IDADI ya watumiaji wa huduma za simu nchini imeongezeka kutoka laini
za simu za kiganjani milioni 2.96 mwaka 2005 hadi kufikia milioni
27.45 Desemba mwaka jana.
Hayo yamebainishwa jana bungeni na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, wakati akisoma hotuba ya makadirio
ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/15.
Licha ya kuongezeka kwa
↧