Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Mwanaume mwenye shati la bluee aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi.
******
MTOTO Nasrah
Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada
ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne
amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa
aitwaye Mariamu
↧