Rais Jakaya Kikwete alipomjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma
Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa amelazwa
katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) katika
hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi majuzi. (picha: Freddy
Maro/IKULU)
**********
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (CHAWATA), Shida
Salum, ambaue
↧