Rais
Yoweri Museveni, amesema kiongozi bora ni yule anayefuata maagizo ya
Mungu na kuwatumikia binadamu wote kwa usawa na haki.
Rais Museveni aliyasema hayo Jumamosi wakati ibada ya kuombea
mchakato wa kumfanya Marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa
mwenyeheri na hatimaye kutangazwa mtakatifu.
Alisema
hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia kuna mistari inayomtaka
↧