Walimu washauriwa kuacha kutumia VIROBA wakati wa kufundisha
Baadhi ya walimu wakuu wa shule za sekondari Tanzania kanda ya mashariki kupitia umoja wao TAHOSSA wakimsikiliza ofisa elimu mkoa wa pwani hayupo alipofungua mkutano wao mjini Kibaha. Picha ya pamoja...
View ArticleMh. Lowassa amjulia hali mwalimu wake wa Siasa
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimjulia hali Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Arusha,Mzee Jackson Kaaya nyumbani kwake Poli Meru wakati alipofika kumuona na...
View ArticleMajani ya Mapapai hayatibu Dengue....Wananchi washauriwa kutokubali...
Halmashauri ya manispaa ya Ilala imesema kuwa majani ya mapapai si tiba ya ugonjwa wa dengue hivyo ni vyema wananchi wakafika hospitalini kupatiwa dawa kuliko kudanganywa na...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 19 May 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 19 May 2014
View ArticleHili ni Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT.
May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake...
View ArticleMchawi kutoka Tanzania ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela nchini Kenya...
Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na kumuibia shilingi milioni tisa. Mchawi huyo alimhadaa mama huyo kuwa kwa...
View ArticleMtoto aliyekuwa amefichwa ndani ya boksi aanza kupumulia Mashine......
MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya...
View ArticleWabunge wa Kambi rasmi ya upinzani wasusia bajeti ya wizara ya nishati na...
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amewatoa wabunge wote wa upinzani Bungeni ikiwa ni shinikizo la kuipinga Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kama ilivyokuwa imewasilishwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 31 May 2014
Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 31 May 2014
View ArticleHuyu jamaa alipelekwa Mahakamani kwa kesi ya kubaka, alipofika Mahakamani...
Watu wa karibu wa Mtuhumiwa huyu walijitokeza Mahakamani ili kuangalia kama ndugu yao aitwae Simon Ngozi (21) ataweza kupata dhamana kwenye kesi inayomkabili ya kubaka mtoto wa miaka tisa. Jamaa...
View ArticleMtoto Nasra aliyekuwa amefichwa ndani ya Boksi aondolewa mashine maalumu ya...
Hali ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa mashine maalumu ya kumsaidia kupumua. Siku mbili zilizopita, Nasra aliwekewa mashine na...
View ArticleJeshi la Polisi lasema, Vijana 17 waliokamatwa jijini Arusha si Al shabaab...
JESHI la Polisi nchini limekanusha kwamba watuhumiwa 14 waliokamatwa na kufikishwa mahakamani mkoani Arusha hawahusiki na kundi la Al-Shabaab kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo...
View ArticleProfesa Peter Mutharika ashinda kinyang'anyiro cha Urais Nchini...
Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa...
View ArticleBreaking News: Msanii Mwingine wa bongo muvi, George Tyson ambaye alikuwa ni...
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry 'Monalisa', George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo...
View ArticlePicha: Mwili wa marehemu George Tyson ukitolewa hospitali ya mkoa Morogoro na...
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiutoa mwili wa marehemu George Tyson mochwari mchana wa leo katika Hospitali ya Mkoa ya Morogoro Mwili wa marehemu George Tyson ukiwekwa sawa kabla ya kuanza safari ya...
View ArticlePicha ya Majeruhi aliyekuwa pamoja na marehem George Tyson wakati gari yao...
Mmoja wa majeruhi katika ajali, Gladys Chiduo 'Mc Zipomba' akiwa chini ya uangalizi wa nesi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro akipatiwa matibabu mapema leo (Picha: Dustan/gpl) <!-- adsense...
View ArticleMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam afariki dunia katika mazingira ya...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Happiness Sakabenga, jana amefariki ghafla chumbani kwake baada ya kutoka kwenye vipindi vya masomo asubuhi, chuoni hapo. Mwanafunzi huyo wa mwaka wa...
View ArticleRay C sasa ahitaji mpenzi mzee....Asema Mapenzi ya vijana yamempa majuto ya...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60. Akizungumza...
View ArticleAudio: DJ Choka ailezea ajali ya gari alilokuwemo marehemu George Tyson na...
Jana usiku wadau wa filamu na vipindi vya TV walipatwa na mshituko baada ya kupata taarifa kuwa muongozaji mahiri wa filamu na vipindi vya runinga, George Tyson amefariki katika ajali ya gari. DJ...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumapili ya tarehe 1 June 2014
Magazeti ya Leo Jumapili ya tarehe 1 June 2014
View Article