Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Happiness Sakabenga,
jana amefariki ghafla chumbani kwake baada ya kutoka kwenye vipindi vya
masomo asubuhi, chuoni hapo.
Mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili
aliyekuwa akichukua Shahada ya kwanza ya Biashara na Uhasibu, baada ya
kutoka darasani alikwenda kupumzika na hakuamka tena.
Habari za ndani kutoka kwa marafiki zake zimeiambia
↧