MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema
kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama
ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.
Akizungumza katika kipindi cha ‘The Sporah Show’, Ray C alisema
anahitaji wanaume wa umri mkubwa, kwa kuwa wanajua wanachokifanya, na
kukiri kwamba vijana walichangia katika kurudisha nyuma maisha
↧