Watu wa karibu wa Mtuhumiwa huyu walijitokeza Mahakamani ili
kuangalia kama ndugu yao aitwae Simon Ngozi (21) ataweza kupata dhamana
kwenye kesi inayomkabili ya kubaka mtoto wa miaka tisa.
Jamaa alikua amepelekwa Mahakamani Makadara
Nairobi nchini Kenya lakini ghafla akamshangaza kila mtu baada ya kutaka kumbaka
Mwanamke aliyekua karibu yake baada ya kuanza kumshikashika.
↧
Huyu jamaa alipelekwa Mahakamani kwa kesi ya kubaka, alipofika Mahakamani akataka kumbaka mtu tena
↧