Hali ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka
minne, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa mashine maalumu ya
kumsaidia kupumua.
Siku mbili zilizopita, Nasra aliwekewa mashine na kupata hewa ya
oksijeni baada ya kushindwa kupumua vizuri kutokana na nemonia.
Kutokana na nafuu hiyo, juzi usiku jopo la madaktari bingwa wa watoto
katika Hospitali ya Taifa
↧