Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman
Mbowe amewatoa wabunge wote wa upinzani Bungeni ikiwa ni shinikizo la
kuipinga Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kama ilivyokuwa
imewasilishwa na Waziri wa Wizara hiyo Professa Sospeter Muhongo.
"Hatuwezi kuendelea kuzungumzia bajeti ya Serikali isiyokuwa na
sera,mimi kama Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni siwezi
↧