Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi
wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter
Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote
akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais
anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa
asilimia 20.2 na Atupele
↧