Sakata la Mwanamke aliyehukumiwa KUNYONGWA na KUCHAPWA VIBOKO 100 kwa...
Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa...
View Article"Sijawahi Lia eti kisa Nimeachwa na Mwanaume .......Mwanaume hawezi kunifanya...
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’,...
View ArticleHatimaye Mbunge Vicky Kamata Kuolewa..Huyu Ndio Mchumba Wake, Ndoa yao...
Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa shughuli hiyo itatafuna...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 17 May 2014
Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 17 May 2014
View ArticleMume Afyeka NYETI za mke wake na kutokomea kusikojulikana......Kisa na mkasa...
Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na...
View ArticleRehema Fabian aambulia mvua ya Matusi baada ya kuposti picha yake mtandaoni...
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi. Picha hiyo ilimuonesha...
View ArticleMrema ashauri Polisi wapewe asilimia 10 ya Mali wanayokamata ili iwe...
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Mrema (MB, Vunjo, TLP) amependekeza askari polisi wapewe asilimia 10 ya thamani ya mali wanayokamata ili iwe...
View ArticleNape asema UKAWA ni sawa na Boko Haram
NA MOHAMMED ISSA, Gazeti la UHURU KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni kundi hatari linaloeneza...
View ArticleBaba wa Taifa, Mwalimu Nyerere amtokea Mkewe Ndotoni na kumpa UJUMBE mzito...
MKE wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria, amesikitishwa na jinsi baadhi ya watu wanavyomkosoa mwasisi huyo kwa kuwa enzi za uhai wake alifanya kazi kwa bidii katika kulitumikia taifa...
View ArticleBreaking News:Msanii wa Filamu, Adam Kuambiana afariki dunia
Mwigizaji na Director wa filamu maarufu hapa nchini, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia...
View ArticleBatuli, Dude, Shija na Bondi waelezea jinsi walivyopokea kwa uchungu taarifa...
Baadhi ya wasanii wa filamu akiwemo Yobnesh Yusuphn(Batuli),Bondi Bin Salim aka Bond, Deogratius Shija na Kulwa Kikumba ‘Dude’wameelezea jinsi walivyopokea kwa uchungu taarifa za kifo cha msanii...
View ArticleMwili wa Msanii Adam Kuambiana watolewa Hospitali ya Mama Ngoma na...
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa. Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana. Msanii aliekuwa...
View ArticleAUDIO: Steve Nyerere akiongelea msiba wa Adam Kuambiana, Chanzo cha Umauti na...
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amezungumza na Clouds Fm muda mfupi uliopita kuhusiana na kifo cha ghafla cha msanii mwenzao, Adam Kuambiana ambapo ameleeza kiundani chanzo cha...
View ArticlePicha za Nusu Uchi za Irene Uwoya akiwa Bafuni zasambaa Kwa Kasi ....
Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi....
View ArticleMfuko kuboresha makazi ya askari waanzishwa
MFUKO maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha makazi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwemo askari, umeanzishwa ukilenga kuwezesha kupata nyumba na ofisi zaidi bila...
View ArticlePolisi Yanasa mtandao wa watu wanaosafirisha wasichana Toka Tanzania na...
BAADA ya kuwepo malalamiko ya wasichana wadogo wa nchini kusafirishwa kwenda China kutumikishwa katika biashara ya ngono pamoja na dawa za kulevya, sasa serikali imenasa mtandao huo. Waziri wa Mambo...
View ArticleDaktari asahau kitambaa tumboni mwa Mgonjwa mkoani Tabora....Mgonjwa atolewa...
Waziri wa Afya MKAZI wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Mwamini Adamu ametolewa mfuko wa kizazi na kukatwa sehemu ya utumbo baada ya mganga wa idara ya upasuaji katika wilaya hiyo kusahau kitambaa...
View ArticleAdam Kuambiana kuzikwa Jumanne katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar
Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamu Adam Kuambiana yatafanyika Jumanne (May 20) katika makaburi ya Kinondni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mpekuzi, mwenyekiti wa bongo movie ,Steve Nyerere...
View ArticleUKAWA wapata Pigo mkoani Iringa.....Wapokelewa kwa Mabango ya kuwapinga,...
UMOJA wa Katiba ya Wananchi ( UKAWA ) umepokelwa kwa mabango yanayowapinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa yaliyokuwa yamebebwa na vijana.... Mabango hayo yalikuwa yanasomeka...
View ArticleDiamond Mpaka Sasa anaongoza Kwa Kura za BET Awards.....Bonyeza hapa ili...
Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku...
View Article