MFUKO maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha makazi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwemo askari, umeanzishwa ukilenga kuwezesha kupata nyumba na ofisi zaidi bila kutegemea bajeti ya serikali.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ambaye bajeti ya wizara yake iliidhinishwa juzi, alitoa taarifa hiyo wakati akihitimisha mjadala kuhusu bajeti ya
↧