Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya
akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na
kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi.
Uwoya alikuwa
kimya kidogo huku habari zake zikiendelea kutawala mitandaoni na
magazetini kama kawaida lakini kwa picha hizi inaonekana ametoa ishara
kuwa yupo kama kawa...
↧