Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amezungumza na Clouds Fm muda mfupi uliopita kuhusiana na kifo cha ghafla cha msanii mwenzao, Adam Kuambiana ambapo ameleeza kiundani chanzo cha kifo hicho na taratibu zingine za msiba.
"Mwenzetu Adam
Philipo Kuambiana amefariki akiwa Location ana shoot,mimi nimepigiwa
simu saa 3 asubuhi kuwa hospitali pale Mwenge niende
↧