MKE wa Baba wa
Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria, amesikitishwa na jinsi baadhi
ya watu wanavyomkosoa mwasisi huyo kwa kuwa enzi za uhai wake alifanya
kazi kwa bidii katika kulitumikia taifa kiasi cha wakati mwingine
kuisahau familia kwa muda.
Akiongea na waandishi nyumbani kwake Msasani, jana, Mama Maria alisema
kwa uchungu kuwa mumewe ambaye alifariki miaka 15 iliyopita,
↧