Mwigizaji na Director wa filamu maarufu hapa nchini, Adam Kuambiana amefariki dunia
wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es
Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo.
Marehemu alianguka chooni
akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar.
Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na
tumbo.
↧