Baadhi ya wasanii wa filamu akiwemo Yobnesh Yusuphn(Batuli),Bondi Bin
Salim aka Bond, Deogratius Shija na Kulwa Kikumba ‘Dude’wameelezea
jinsi walivyopokea kwa uchungu taarifa za kifo cha msanii mwenzao Adam
Kumbiana aliyefariki dunia leo.
Wakizungumza na mtandao huu, wasanii hao kwa nyakati tofauti tofauti
kila mmoja ameonesha kuguswa na taarifa hiyo huku kila mmoja akielezea
jinsi
↧