Batuli afunguka..."Sijawahi kumpenda mwanaume kama nilivyompenda Mtunis"
KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’. Akizungumza na mwandishi...
View ArticleBasi Lagonga Lori na kuua watu 10....Lilikuwa likitoka Mwanza kwenda Bunda,...
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la...
View ArticleSerikali yasema VIPIMO na MATIBABU ya homa ya Dengue ni BURE
Magreth Kinabo – MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa...
View ArticleJambazi HATARI ambaye ni Kinara wa Uporaji katika Mabenki Atajwa....Jambazi...
PRESS RELEASE 14/05/2014 POLISI WAMGUNDUA KINARA WA MTANDAO WA WIZI KATIKA MABENKI JIJINI D’SALAAM (PICHA YAKE YATOLEWA HADHARANI) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam...
View ArticleUCHAWI watajwa kutawala katika penzi la Ray na Chuchu Hans
UCHAWI umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba...
View ArticleKunguni watikisa shule ya Pugu aliyofundisha mwalimu Nyerere, wanafunzi...
Moja kati ya maadui wakubwa wa usingizi ni mdudu ‘kunguni’ ambaye anaweza kumfanya mtu anayepanga kujipumzisha kuhisi anaadhibiwa kwa kufinywa. Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Pugu iliyoko Dar es...
View ArticleVIDEO: Msikilize Diamond akiongea na Gestina George baada ya kuchaguliwa...
Mwaka huu unaonekana kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Diamond PlatinumZ ambaye anazidi kuongeza ukubwa wa CV yake katika muziki kwa kupanda ngazi na majukwaa ya kimataifa. Mshindi huyo wa tuzo saba...
View ArticleKwanini Wema Sepetu hatumii umaarufu wa Diamond kutafuta fursa ya kufanya...
Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za Kilimanjaro, ubavu wake wa kushoto Wema Sepetu alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja alipanda jukwaani kutoa maneno ya shukrani kwa niaba yake...
View ArticleBreaking News: Mtoto Afariki Dunia baada ya kuangukiwa na Jiwe kubwa Ilemelea...
Mtoto mmoja aliyefahamika kwa Jina la Malaika Jackson amefariki dunia Muda huu ( saa kumi jioni ) baada ya kuangukiwa na Jiwe kubwa lililoporomoka wakati baba yake akichimba...
View ArticleWabunge 25 watarajiwa kuhama vyama vyao na kujiunga na chama kipya cha...
Wanasiasa kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini wakiwemo wabunge 17 kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ),wanatarajiwa kujiunga na chama kipya cha siasa nchini,...
View ArticleHizi ni Nafasi Mpya za kazi toka Tanzania Petroleum Development Corporation...
Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is looking for experienced, dynamic, energetic, visionary and qualified candidates to fill the most senior positions within the Corporation’s. These...
View ArticleMwimbaji Amina Ngaluma afariki Dunia
MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe...
View ArticleMagazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 16 May 2014
Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 16 May 2014
View ArticleJohari afunguka : Ray hawezi kumuoa Chuchu Hans, huo ni utapeli tu
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la...
View ArticleMaswali 10 tata pamoja na Majibu yake kuhusu Homa ya dengue
Tangu ugonjwa wa homa ya dengue uibuke mkoani Dar es Salaam na baadaye maeneo mengine ya nchi, wananchi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi yenye utata ambayo sasa yamepata majibu ya wataalamu. 1....
View ArticleSerikali yasema ina mpango wa kujenga MAHABUSU za watoto katika kila mkoa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima amesema Serikali ina mpango wa kujenga mahabusu za watoto katika kila mkoa nchini. Alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge...
View ArticleMwanafunzi wa Chuo kikuu wa SAUT jijini Mwanza auawa na wanafunzi wenzake kwa...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijini Mwanza, Helma Michael (22) ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunzi wenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi na deki...
View ArticleNafasi za Mafunzo na kazi toka RafikiElimu Foundation......Baada ya mafunzo...
Taasisi Ya RafikiElimu FOUNDATION inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI. ( NGO MANAGEMENT & OPERATION ) kwa waombaji...
View ArticleWatu wanne wapoteza maisha kwenye mlipuko wa Bomu Mjini Nairobi, Kenya
WATU wanne wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya. Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la...
View ArticleKijana aliyenunua makahaba wawili na kujifungia nao chumbani kwa lengo la...
Mwanaume mmoja ambaye ni muokota chupa maarufu aliyetambuliwa kwa jina moja la Hamad anadaiwa kunusurika kufa katika nyumba moja ya kulala wageni iliyoko eneo la Manzese...
View Article