KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama
alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya
kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama
alivyompenda Mtunis.
“Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda
↧