Mtoto mmoja aliyefahamika kwa Jina la Malaika Jackson amefariki dunia Muda huu ( saa kumi jioni ) baada ya kuangukiwa na Jiwe kubwa lililoporomoka wakati baba yake akichimba kokoto katika mlima Giza, maarufu kama mlima wa Rada uliopo maeneo ya Kiseke, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza
Kabla ya kufikwa na mauti hayo, Mtoto huyu alikuwa na baba
↧