Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za Kilimanjaro, ubavu wake wa
kushoto Wema Sepetu alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja
alipanda jukwaani kutoa maneno ya shukrani kwa niaba yake na alisikika
akisema anajivunia kuwa mke mtarajiwa wa staa huyo wa muziki nchini.
Wema na Diamond wana historia ndefu ya mapenzi na uhusiano wao
unaongoza kwa kuandikwa zaidi na vyombo
↧