Mwaka huu unaonekana kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Diamond
PlatinumZ ambaye anazidi kuongeza ukubwa wa CV yake katika muziki kwa
kupanda ngazi na majukwaa ya kimataifa.
Mshindi huyo wa tuzo saba za KTMA2014 ametajwa jana (May 14) kuwania
tuzo kubwa duniani zinazotolewa na Black Entertainment Television (BET
Awards 2014) katika kipengele cha Best International Act Africa huku
↧