Moja kati ya maadui wakubwa wa usingizi ni mdudu ‘kunguni’ ambaye
anaweza kumfanya mtu anayepanga kujipumzisha kuhisi anaadhibiwa kwa
kufinywa.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Pugu iliyoko Dar es Salaam, ambayo
ina historia ya pekee kwa kuwa ni moja kati ya shule alizofundisha
muasisi wa Taifa hili, mwalimu Julius Kambarage Nyerere wamekumbwa na
mtihani mkubwa na kulazimika
↧