Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane
na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent
Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli
na kwamba huo ni utapeli.
Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa
zozote za Ray kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii kusikia tukio la
wawili hao
↧