Tangu ugonjwa wa homa ya dengue uibuke mkoani Dar es Salaam na
baadaye maeneo mengine ya nchi, wananchi wamekuwa wakijiuliza maswali
mengi yenye utata ambayo sasa yamepata majibu ya wataalamu.
1. Kwa nini mbu wengine wakiwamo wanaoambukiza malaria hawawezi kuambukiza dengue?
Mtafiti wa tabia za mbu kutoka Taasisi ya Afya ya
Ifakara (IHI), Dk
↧