Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima amesema Serikali
ina mpango wa kujenga mahabusu za watoto katika kila mkoa nchini.
Alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Omar Juma (CUF).
Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua lini Serikali itajenga
mahabusu za watoto ili kuwapunguzia udhalilishaji na manyanyaso
↧