Magreth Kinabo – MAELEZO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa
mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika
hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Aliyasema
hayo kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares
Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuulizwa swali
juu ya
↧