PRESS RELEASE
14/05/2014
POLISI WAMGUNDUA KINARA WA MTANDAO WA WIZI KATIKA MABENKI
JIJINI D’SALAAM (PICHA YAKE YATOLEWA HADHARANI) ANATAFUTWA NA JESHI LA
POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa
mhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye
anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL, umri miaka 37, mfanyabishara na
mkazi wa Kimara
↧