Loveness Diva kufanya Video ya ‘Mashallah’ na Director wa Kenya
Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake mpya ‘Mashallah’ siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tour ya kuutangaza wimbo huo. “Video tunatarajia kufanya na...
View ArticleOrodha ya wasanii wa Kili Music Tour 2014 yatajwa, tweet ya Jaydee yamponza,...
Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi...
View ArticleNigeria yasema iko tayari kulegeza Msimamo kwa wafungwa wa Boko Haram ili...
Serikali ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazowezesha kuachiliwa huru na salama kwa zaidi ya wasichana mia mbili wa shule waliotekwa nyara na wanamgambo wa kiislamu wa...
View ArticleKichanga chatupwa mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini...
MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kichanga hicho cha...
View ArticleWema awagombanisha Diamond na Prezzo.....Prezzo ajisifu kumvua nguo...
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema...
View ArticlePenny: Sitaki kusikia habari za Diamond....Nina mpenzi wangu mwingine
Zilipendwa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’, amefunguka kuwa hataki kumsikia mpenzi wake huyo wa zamani kwa madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa...
View ArticleWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga asema FORM SIX atakayekacha mafunzo ya...
Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita watajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na watakaokwepa mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa. Mpango huo wa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 14 May 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 14 May 2014
View ArticleMlevi afariki dunia baada ya kunywa VIROBA vingi bila kula chakula
Michael Silanda ( 26 ) mkazi wa kijiji cha Ibindi, tarafa ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi amefariki dunia baada ya kunywa pombe ( Viroba ) aina ya Zed kupita kiasi...
View ArticleAbiria wa Bodaboda wageuziwa Kibao.....Abiria Ukikutwa umepanda pikipiki...
Meya wa jiji la Dar es Salaam,Dr Didas Massaburi amesema abiria wataokutwa wakiwa wamepanda Pikipiki maarufu kama Boda boda katika maeneo ambayo pikipiki hizo hazina leseni ya...
View ArticleJe, Unasumbuliwa na tatizo la Vidonda vya Tumbo???.....Kama jibu ni Ndiyo,...
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalo wasumbua watu wengi duniani . Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, takribani mtu mmoja kati ya watu kumi anasumbuliwa na tatizo la...
View ArticleJeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) lasema liko tayari kwa lolote na...
NA THEODOS MGOMBA wa gazeti la UHURU JESHI la Wanachi wa Tanzania (JWTZ), limeonya kuwa liko imara na litaendelea kusimamia na kutii amri na maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete. Pia,...
View ArticleAua shemeji yake kwa kumkata Mapanga huko Tarime.....Kisa ni Mbwa kula Mayai
NA SAMSON CHACHA,Gazeti la Uhuru, TARIME MKAZI wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani hapa mkoani Mara, Mbusiro Muyuyi, ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga kichwani na shemeji yake. Mauaji hayo...
View ArticleNatafuta Hata Boyfriend tu Jamani Upweke Umenishinda
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua… Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake… Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi...
View ArticleUnalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani...
Mdau unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani na yeye au yenye maneno makali hata yakiwa katika lugha si ngeni? Je mtu akivaa T-shirt ya namna hiyo na hajui maana...
View ArticleGirlfriend wa Cristiano Ronaldo ashambuliwa kwa kupost picha akiwa Uchi na...
Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our...
View ArticleWimbo Mpya: Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz - Prokoto
Msanii wa Chocolate City, Victoria Kimani ameachia wimbo wake ‘Prokoto’ ambao amewashirikisha wakali wa bongo flava, Ommy Dimpoz na Diamond. Usikilize hapa:
View ArticleSiri Imefichuka: Kumbe Jay Z alitaka kwenda kwenye party ya Rihanna bila...
Tetesi za chanzo cha mdogo wake Beyonce, Solange kumpiga Jay Z walipokuwa ndani ya lift zinazidi kuzua ripoti kutoka kwa vyanzo mbalimbali. Kwa mujibu wa The New York Daily News, Solange anadaiwa...
View ArticleDiamond ni moto wa kuotea mbali....Televisheni kubwa ya Marekani yamchagua...
Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa ten heshima kubwa bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengele cha msanii bora wa Kimataifa [Best International Act ], Hii na hatua kubwa kwa Diamond...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 15 May 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 15 May 2014 <!-- adsense -->
View Article