Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake mpya ‘Mashallah’ siku chache
zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tour ya
kuutangaza wimbo huo.
“Video tunatarajia kufanya na aliyefanya ‘Asante’ ya Ay,” Diva ameiambia Mpekuzi leo.
Ameongeza kuwa kwasasa ameamua kuingia kwenye muziki kwa miguu yote
miwili, ndio sababu anatarajia kuanza kufanya tour mikoani
↧