Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo.
Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye
mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014.
Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay,
Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph,
Shilole na Mwasiti.
Wengine
↧