Serikali ya Nigeria
inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazowezesha kuachiliwa
huru na salama kwa zaidi ya wasichana mia mbili wa shule waliotekwa nyara
na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram.
Awali waziri wa serikali alikuwa
ameshikilia msimamo mkali kama vile kukatalia mbali pendekezo la
kiongozi wa Boko Haram la kubadililishana wafungwa wa Boko Haram
wanaozuiliwa
↧