MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa
umetupwa eneo la mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kichanga hicho cha kiume kimekutwa eneo hilo jana asubuhi kikiwa kwenye mfuko wa Rambo.
Mwandishi wetu alifanikiwa kuongea na Ofisa Mtendaji wa Kata ya
Makumbusho, Bi. Husna aliyetoa rai kwa
↧