Drake anasema ‘We started from the Bottom’ lakini Mweusi Nick wa Pili anasema ‘Haikuwa Rahisi’.
Nick wa Pili ambaye ni moja kati ya rappers bora zaidi Tanzania na
mshindi wa tuzo ya KTMA ameelezea jinsi alivyohangaika wakati akiwa
shule ya msingi katika maisha ya kawaida ambayo wapo watanzania wengi
wanayoyaishi hadi hivi sasa.
Akizungumza katika kipindi cha The Jump Off ambapo
↧