Wakati ishu ya kuolewa ikiwa bado inamsumbua kichwani Miss Tanzania 2006 ,Wema Sepetu amejikuta akiugua gonjwa linalosababishwa na vinywaji baridi....
Bi shosti huyo ambaye aling'ara usiku wa tuzo za Kili akiwa na mpenzi wake Diamond alisema kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa mafindofindo (Tonsils) ambao umemfanya kutokunywa vinywaji anavyovipenda
↧