Mbunifu
wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo
akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika
kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah.
Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara
wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira.
Mbunifu
wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili
↧