Msanii Natasha naye augua Dengue na kulazwa...."nilihisi naaga dunia kiukweli...
STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengue (Dengue Fever). Akiongea na mwandishi wetu, Natasha alisema tangu Rais Jakaya...
View ArticleJack Wolper apiga mwereka ukumbini baada ya kunywa pombe kupita kiasi
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary. Kwa mujibu wa ‘shushushu’...
View ArticleNape asema NDOA ya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi ni ya...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni...
View ArticleMahaba ya Snura awapo Sita kwa Sita yatishia kuvunja kitanda
Staa wa kike anayetikisa kwenye tasnia ya filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a Majanga anadaiwa kuwa ni mmoja wa mastaa wa kike wenye ujuzi mkubwa kimahaba kiasi cha...
View ArticleKutovaa nguo za ndani kwamuumbua Naomi Campbell....!
Mwanamitindo wa kimataifa wa Marekani, Naomi Campbell mwishoni mwa wiki jana alikumbwa na tukio la aibu baada ya tatizo lake la kusahau kuvaa chupi kumsababishia tatizo kubwa...
View ArticleAvunja Ndoa yake kwa kutamani maisha ya Wema Sepetu.....
Kuiga ni kawaida kwa wengi.Wapo walioiga mambo fulani na hatimaye wakafanikiwa, na pia wapo walioiga vitu flani wakaharibikiwa.Huyu aliiga na akaharibu kila kitu... Ni msanii wa...
View ArticleRwanda yamkataa Balozi wa Tanzania
Rwanda imemkataa Balozi mteule wa Tanzania, Mussa Siwa, ambaye alitakia na serikali kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo.Taarifa kutoka Rwanda na duru za ndani ya serikali ya...
View ArticleZitto Kabwe achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa kamati za mahesabu za...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ili kuziba nafasi ambayo ilikuwa iikishikiliwa na nchi ya Msumbiji....
View ArticleKundi la kig*idi la Boko Haram latoa masharti ya kuwaachilia wasichana wa...
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru....
View ArticleAunty Lulu Avua Nguo Hadharani Ukweni baada ya pombe kupanda kichwani
Msichana wa mjini asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’, kwa mara nyingine amefanya kituko cha aina yake baada ya kuzua timbwili kisha kusaula nguo zote hadharani bila...
View ArticleMajina na utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ( JKT ) kwa...
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia...
View ArticleTaarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue......
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA DENGUE “DENGUE FEVER” Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue...
View ArticleDaktari wa Mwanza Afia Gesti jijini Dar
Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi. MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 13 May 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 13 May 2014
View ArticleWachina 9 walazwa kwa homa ya Dengue.....Rais Kikwete aagiza hatua za dharura...
Wakati raia tisa wa China wakibainika kuugua ugonjwa wa dengue na kulazwa hapa nchini, Rais Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kuagiza wizara zake mbili kukabiliana na ugonjwa huo kwa dharura....
View ArticleBaraza kivuli la UKAWA halina mashiko kisiasa
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe ametangaza baraza lake kivuli, kufuatia ahadi yake ya hivi karibuni kuwa atalivunja lile la awali, lililokuwa likiundwa na wabunge...
View ArticleAlbino auawa kwa kukatwa mapanga mkoani Simuyu....Anyofolewa mguu wa kushoto...
MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu. Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi...
View ArticleJokate Mwegelo awataka wahitimu wa chuo kikuu kujiajiri.....
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi...
View ArticlePombe yamponza Wema Sepetu........Augua, ajirusha
Wakati ishu ya kuolewa ikiwa bado inamsumbua kichwani Miss Tanzania 2006 ,Wema Sepetu amejikuta akiugua gonjwa linalosababishwa na vinywaji baridi.... Bi shosti huyo ambaye...
View ArticleHaikuwa Rahisi: Nick wa Pili asimulia ugumu wa maisha, aliuza SAMBUSA darasa...
Drake anasema ‘We started from the Bottom’ lakini Mweusi Nick wa Pili anasema ‘Haikuwa Rahisi’. Nick wa Pili ambaye ni moja kati ya rappers bora zaidi Tanzania na mshindi wa tuzo ya KTMA ameelezea...
View Article