Msichana wa mjini asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias
Semagongo ‘Aunty Lulu’, kwa mara nyingine amefanya kituko cha aina yake
baada ya kuzua timbwili kisha kusaula nguo zote hadharani bila kujali
yupo ukweni.
Aunty Lulu ana uhusiano wa kimapenzi na kijana anayejulikana kwa jina moja la Amani.
Habari zisizokuwa na chembe ya ‘dauti’ zilidai kuwa hivi karibuni,
Aunty Lulu na
↧