Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi.
MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion
(36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni
‘gesti’ ijulikanayo kwa jina la Nesta iliyopo Ubungo NHC wilayani
Kinondoni jijini Dar.
Taarifa kutoka katika gesti hiyo zinasema marehemu alijiorodhesha
kwenye kitabu
↧