STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi
ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengue (Dengue Fever).
Akiongea na mwandishi wetu, Natasha alisema tangu Rais Jakaya
Kikwete aingie madarakani, hajawahi kuugua hata homa lakini kwa mara ya
kwanza mwaka huu homa ya dengue imemlaza.
“Nilianza kusikia baridi kali sana kisha nikawa naishiwa nguvu na
↧