Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa
tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha
mwigizaji mwenzake, Vanita Omary.
Kwa mujibu wa ‘shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba, tukio hilo
lilijiri kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani FM Club), Kinondoni jijini Dar
ambapo mastaa kibao walihudhuria.
Ndani ya kibao kata hicho, Wolper
↧