DAKTARI wa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Gilbert
Bubelwa, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
baada ya kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue.
Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho jana kwa njia ya simu, Msemaji
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Aminiel Algaeshi, alisema daktari
huyo ambaye alilazwa hospitalini hapo tangu Alhamisi ya wiki iliyopita,
↧