Vibaka wanusurika kifo Kijitonyama jijini Dar......
VIJANA wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kijitonyama baada ya kumpora dada mmoja mkoba. Vibaka hao walifanikiwa kumpora dada...
View ArticlePicha kutoka Bungeni mjini Dodoma Leo......
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2014. Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akiwa anaendesha...
View ArticleWanafunzi 212 wa Uaskari chuo cha taaluma ya Polisi Moshi wafukuzwa baada ya...
CHUO cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.. Hayo yamesemwa leo...
View ArticleFreeman Mbowe atangaza baraza jipya la Mawaziri Kivuli....Baraza hilo kwa...
Kambi rasmi ya upinzani imetangaza baraza la mawazili kivuli katika wizara 29 ambao wanashika hatamu za uongozi kwa kipindi kilichobakia kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani....
View ArticleWaziri Mkuu, Mizengo Pinda amwagiza CAG na TAKUKURU wachunguze wizi wa...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi...
View ArticleSteve Nyerere ampa ONYO Wema Sepetu....
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila...
View ArticleJackline Wolper: Wanaosema Kifo Cha Kanumba Kimeshusha Soko La Filamu Ni...
Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini Jackline Wolper amesema kuwa watu wanaosema kuwa soko la filamu nchini limeshuka baada ya Kanumba kufariki ni waongo kwasababu kila mtu ana mashabiki wake...
View ArticleDr Cheni aruhusiwa baada ya kulazwa kwa ugojwa wa Dengeu
Msanii wa filamu Dr Cheni ameruhusiwa jana kutoka katika hospitali ya Buruhani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kutokana kuugua na ugonjwa wa Dengeu. Kupitia Instagram jana ameandika: Asanteni...
View ArticleINASIKITISHA:...Huyu ni binti aliyembukizwa Virusi Vya Ukimwi na Mwanamke...
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna alivyo pata maambukizi ya VVU...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili ya tarehe 11 May 2014
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 11 May 2014
View ArticleUfafanuzi wa Serikali kuhusu taarifa ya kufukuzwa wakurugenzi wa Wizara ya...
Serikali inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu zinazoendelea kuchapishwa na kutangazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu Watumishi Waandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof....
View ArticleWazee wawili wafikishwa mahakamani kwa kosa la KUWALAWITI wanafunzi sita wa...
Wazee wawili akiwemo mlinzi mmoja wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kulawiti wanafunzi sita wa shule za msingi zilizoko wilayani...
View ArticleNay wa Mitego aongea kuhusu kusambaa kwa picha ya mchumba wake akivishwa pete...
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete na...
View ArticleUKAWA wapigwa marufuku Bunge la bajeti.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti. Alisema hayo juzi bungeni...
View ArticleKijana Aua Wazazi Wake Wawili na Kuchoma Moto nyumba yao Mkoani Kilimanjaro
WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba yao na...
View ArticleHuu ni Wimbo mpya wa Diamond ULIOVUJA jana na kauli ya msanii huyo baada ya...
Ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo ambazo hazijakamilika au muda wake wa kutoka haujafika umemkuta tena mshindi wa tuzo saba za KTMA, Diamond Platnumz. Wimbo huo uliopewa jina la ‘Kitorondo’ umesambaa jana...
View ArticleHabari NJEMA kwa wanaume na wanawake wenye MATUMBO makubwa ( VITAMBI...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunayo dawa nzuri ya asili inayo ondoa kitambi na kulifanya tumbo lako kuwa flat kabisa...
View ArticleMwilli wa mtu waokotwa mto Mzinga,Kongowe jijini Dar
Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga. Mwili baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji. ************ Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake umenaswa ukielea ndani ya Mto...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 12 May 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 12 May 2014
View ArticleDaktari Bingwa wa magonjwa ya akili nchini afariki dunia kwa ugonjwa wa Dengue
DAKTARI wa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Gilbert Bubelwa, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue. Akithibitisha...
View Article