VIJANA wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer wamenusurika
kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kijitonyama baada ya
kumpora dada mmoja mkoba.
Vibaka hao walifanikiwa kumpora dada huyo aliyekuwa akitembea kwa
miguu akitokea Benki ya Access katika maeneo ya showroom ya Akachube
iliyopo Kijitonyama jijini Dar.
Wakati wa uporaji huo, alikuwepo msamaria mmoja
↧