Zaidi ya
abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa
linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na
daraja la Wami.
Chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo.
<!-- adsense -->