Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu iataka BASATA na mamlaka zingine ziwaruhusu waigize wakiwa nusu Uchi ili...

  DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu uchi  ili kuendana na soko la kimataifa.    Akitetea hoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu na Diamond wamfanyia Visa Jokate.....Wapigana denda mbele yake,...

WAKATI  msanii  wa  kizazi  kipya  anayefanya  vizuri  kwa  sasa  na  kujizolea  tuzo  7  alizokuwa  anawania  kupitia  Kilimanjaro  Tanzania  Music  Awards  2014, Naseeb  Abdul  'Diamond  akiibuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015....Wasema hawezi...

Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Mpya : Jose Chameleone – Gimme Gimme

Jose Chameleone amekasirika. Baada ya miaka mingi kutengeneza video za kawaida tu zilizokuwa zinashindwa kupewa nafasi kwenye vituo vikubwa vya runinga kama Trace TV au MTV Base, staa huyo wa Uganda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania mwingine akamatwa Airport Nairobi akiwa na mzigo wa dawa za kulevya...

Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 10 za Mahabusu waliovua nguo na kung'ang'ania mlingoti wa bendera ya...

Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi. ********* Matukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha kutoka Bungeni mjini Dodoma Leo.....

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufuska Bongo Movie wamkosesha dili Nora.....

MWANADADA wa muda mrefu kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie. Akiongea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maimartha awauzia mastaa dawa za kukuza makalio.....

MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa chanzo  cha  kuaminika,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bob Junior akanusha tetesi za gazeti la udaku kuwa amemloga...

Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja  la udaku kuwa anamloga Diamond. Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive interview: Jaqueline Wolper aongelea kuhusu kubadili dini, kuachana...

Ni muda mrefu  kidogo  baada  mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika  akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shaa, mkali wa "Sugua Gaga " afunguka kuhusu siri ya Uzuri wake na mambo...

Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya poa sana katika music industry hapa Tanzania na kupelekea kupata fans wengi kila kukicha, hapa anatuelezea style 1.Unaweza  ukatuelezea  kuhusu  style  zako?...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu wa Kanisa la KKKT lililolipuliwa bomu jijini Mwanza atoa kauli...

Miongoni mwa habari  kubwa wiki hii ni hii ya bomu kulipuliwa kwenye kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Mwanza ambapo lilijeruhi mtu mmoja alielazwa hospitali ya Bugando.    Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 9 May 2014

Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe 9 May  2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu anasa ushahidi Kajala kumuibia bwana.....Team Wema wafanya...

Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyuo vitano vyabainika kutoa mikopo hewa kwa wanafunzi....Wanafunzi hao ni...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini kuwapo kwa wanafunzi wanaopatiwa mikopo katika vyuo vitano nchini licha ya kufeli au kuahirisha masomo yao. Kwa mujibu wa taarifa ya CAG...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida afariki dunia...

Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Juma Juma (52), amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke ambaye imedaiwa ni mhudumu wa baa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dereva wa basi la Summry aliyesababisha vifo ya watu 19 mkoani Singida...

JESHI la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la Summry T.799 BET, Paul Njilo mkazi wa jijini Dar-es-salaam aliyegonga askari polisi wanne na wananchi 15 na kusababisha vifo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Dar Express lapata ajali eneo la Wami

Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami. Chanzo  cha ajali hiyo  ni kupasuka...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>