Miongoni mwa habari kubwa wiki hii ni hii ya
bomu kulipuliwa kwenye kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)
Mwanza ambapo lilijeruhi mtu mmoja alielazwa hospitali ya Bugando.
Mkuu wa dayosisi Askofu Andrew Gulle anasema: "May 5 2014 bomu
limelipuka katika usharika wa kanisa kuu Imani kwenye eneo la rest house
saa mbili usiku, ni bomu la kutengenezwa kwa mkono na lilikua
↧